Rais Kikwete afungua Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wakati wa mkutano wa mabalozi wa Tanzania.Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Watatu Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Mh.Bernard Membe,Wanne kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Liberata Mulamula(picha na Freddy Maro) 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*