REKODI MPYA LIGI KUU BARA: AZAM FC WAWAPIGIA MAKOFI WACHEZAJI YANGA


Utamu wa Ligi Kuu Bara kwa mabingwa kupigiwa makofi wakitoka vyumbani umefanyika leo.


Wachezaji wa Azam FC waliokuwa mabingwa watetetezi wamewapigia makofi wachezaji na memba wa benchi la ufundi la Yanga ambao ni mabingwa wapya.

Tukio hilo lilitokea wakati Yanga wakiingia uwanjani katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.


Utaratibu huo umekuwa ukitumika zaidi kwenye Ligi Kuu England na safari hii umetumika Tanzania Bara kwa bingwa kupigiwa makofi kama anakuwa amebaki mchezo au michezo baada ya kuwa ameishabeba ubingwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*