TFF YATUMA RAMBIRAMBI RUREFA


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetuma salamu za rambirambi kwa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA) kufuatia kifo cha katibu mkuu msataafu wa chama hicho Adolph Choma aliyefariki jumamosi na kuzikwa jana.


Katika salamu hizo, TFF imesema inawapa pole familia ya marehemu Adolph Choma, ndugu jamaa na marafiki, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu nchini na kusema TFF ipo pamoja nao katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA