Walemavu walivyofunga barabara kupinga kubomolewa vibanda vyao

 Wafanyabiashara walemavu wakiwa wamekaa katikati ya makutano ya barabara za Uhuru na Kawawa na kufunga barabara hiyo wakipinga kubomolewa vibanda vyao na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam jana. Halmshauri hiyo ilivunja vibanda hivyo kupisha upanuzi wa barabara.

 Wananchi wakiwa eneo la tukio wakiwangalia wafanyabiashara hao walemavu walivyofunga barabara hizo kwa zaidi ya masaa 6
 Maofisa wa Jeshi la Polisi wakifika eneo la tukio kupata suluhisho.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwaeleza wafanyabiashara hao maafikiano yaliyofikiwa na viongozi wao.
 Mmoja wa Wafanyabiashara hao akizungumza kwa hisia kali katika tukio hilo.
Baadhi ya utingo na vijana wakiwa wamekaa juu ya magari yao wakati wa sakata hilo. (PICH

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*