WANANCHI WASHANGILIA BAADA YA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI KUMALIZIKA

 Askari wa kutuliza ghasia wakiwa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, Ubungo, Dar es Salaam katika kuimarisha ulinzi mabasi yalipokuwa yakondoka wakati wa mgomo wa madereva wa mabasi hayo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kivuli, Freeman Mbowe walipokutana na viongozi wa madereva kujadili hatma ya mgomo.
  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, akizungumza na madereva wa mabasi ya kwenda mikoani kuwaeleza makubaliano yao na viongozi wao kuhusu makubaliano yao ya kusitisha mgomo na kuendelea kutoa huduma ya usafirishaji abiria.
 Madereva wa mabasi ya kwenda mikoani, waliokuwa wamegoma, wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, wakati alipokuwa akizungumza nao.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akizungumza na madereva hao, wakati akiwatakia heri baada ya kusitisha mgomo
 Basi likiondoka Uungo huku likishangiliwa baada ya mgomo wamadereva kusitishwa
 Tarafiki akiita mabasi ili yaendelee na safari za mikoani
Mabasi yakishangiliwa yalipokuwa yakiondoka Ubungo Stendi, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*