BABY MADAHA AMPA TANO MAGUFULI

bby
Mwandishi wetu
STAA wa filamu na muziki, Baby Madaha amesema endapo mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atakuwa rais, anaamini nchi itakuwa na maendeleo zaidi.
fb05015612e4001f7c0f6a706700fe8aDkt. John Pombe Magufuli.
Akipiga stori na gazeti hili, Baby Madaha alisema kwamba amefurahia sana ushindi  wa Magufuli kwani ni kiongozi bora anayependa maendeleo hivyo akifanikiwa kuwa rais ataendeleza pale alipoachia Jakaya Kikwete.
“Nimefurahia sana uteuzi wa Magufuli kwani hana kashfa yoyote pia ni mchapakazi mfano tunauona kwenye barabara nyingi zimejengwa vizuri na zinapitika tofauti na zamani,” alisema Baby Madaha.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.