BREAKIIIIIING NEWSSS, MWANDISHI MARIAM MKUMBARU AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa habari mahiri, Mariam Mkubaru amefariki dunia katika ajali ya gari inayodaiwa kutokea jana Ruangwa, mkoani Lindi.

Mtandao huu u;ipotaka kujua zaidi juu kifo hicho, ulichukua jitihada za kupiga kwa namba yake, lakini ilijibiwa na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mama yake ambaye hata hivyo hakuweza kuzungumza zaidi kwani alikuwa analia.


Mkumbaru, amewahi fanyia kazi katika vyombo vya habari vya New Habari, Uhuru na Mzalendo,na The Guardian.

Hadi kifo kinamkabili alikuwa ni Mentor wa Mradi wa Mama Yee  unaotekelezwa na UTPC kupitia gazeti la Tuwasiliane

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*