CATHERINE MAGIGE SASA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM UWT MKOA WA ARUSHA‏



SAM_3843
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWTmkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_3852
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea kiasi cha shilingi laki moja kwaajili ya fomu  ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWTmkoa wa Arusha,
SAM_3849
Catherine Magige akionyesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumukupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWTmkoa wa Arusha,
SAM_3842
Catherine Magige akiteta jambo na akinamama waliokuja kumsindikiza kuchukua fomu,asisitiza kushirikiana na akinamama
SAM_3839
Catherine Magige akisalimiana na akinamama
SAM_3840
Catherine Magige akiingia katika jengo la CCM mkoa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWTmkoa wa Arusha,
SAM_3858
Hapa kampeni meneja wake Ezekiel akizungumza  na akinamama waliomsindikiza Catherine Magige kuchukua fomu ya nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWTmkoa wa Arusha,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI