CHELSEA YABANWA MBAVU NA PSG...YASHINDA KWA MATUTA! DONDOO MUHIMU NA PICHAZ NINAZO HAPA...


Zlatan Ibrahimovic ndiye alikuwa wakwanza kuifungia timu yake ya PSG Goli la kwanza katika mchezo huo mnamo dakika ya 24 ya Mchezo huo mara baada ya kufanyika kwa makosa ya mabeki wa Timu ya Chelsea.
Timu ya Chelsea imeshindwa kutamba mbele ya PSG ilipokubali kulazimishwa kutoka sare ya Goli 1-1, Hivyo kupelekea Mchezo huo kuamuliwa kwa mikwaju ya Penalti huku kipa wa Chelsea Thibaut Courtois kuibuka shujaa wa mchezo huo mara Baada ya Kuokoa mikwaju miwili ya Penalti.
Kipindi cha Pili Timu zote zilifanya Mabadiliko na katika Upande wa Chelsea waliweza kuwatoa Begovic, Mikel and Cahill na waliochukua nafasi zao walikuwa Courtois, Zouma and Ramires. Na upande wa PSG waliotoka walikuwa Luiz, Verratti and Stambouli ambapo nafasi zao zilichukuliwa na Marquinhos, Motta and Rabiot.
Mnamo dakika ya 64 ya kipindi cha pili ni Victor Mosses aliefunga goli la kusawazisha baada ya kupokea pasi maridhawa kutoka kwa Cesc Fabregas Hadi dakika tisini zinakamilika matokeo yalibaki kuwa 1-1 na kuamuliwa kupigwa mikwaju ya Penalti ambapo Chelsea ilishinda kwa mikwaju 6-5.

Katika mchezo wa Awali Timu ya Chelsea walifungwa Goli 4-2 na Timu ya New York RedBulls. PSG wao waliweza ishinda Fiorentina kwa jumla ya Goli 4-2. Katika mshindano hayo ya International Champions Cup

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.