DIAMOND PLATINUMS AUNGANA NA WASANII WAKUBWA DUNIANI KWENYE PRESS CONFERENCE YA MTV BASE




Diamond Platnumz.

Diamond Platnumz.



Diamond Platnumz akiwa kwenye Redcarpet.


Diamond Platnumz akiwa na mashabiki.

Diamond Platnumz akiingia kwenye gari baada ya kumaliza press conference.


Diamond Platnumz akiwa kwenye gari.


Ni July 17 ambapo Diamond Platnumz, Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasani wengine waliungana na MTV Base kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali uliofanyika Durban Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea picha kadhaa ushuhudie jinsi wasanii mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wa waandishi wa habari.



Nomuzi Mabena mtangazaji wa MTV Base .

Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani,Anthony Anderson atakuwa host kwenye utoji wa tuzo za MTV base

Anthony Anderson.

Jhene Aiko (kulia) akijibu swali kwenye press conference.



Jhene Aiko akiwa kwenye press conference.


Neyo.

Neyo akijibu swali la mwandishi leo kwenye Press Conference.

Neyo.




Waandishi wa Habari kutoka media tofauti tofauti.


Makamu mkuu wa Rais wa MTV Africa, Alex Okos (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari.

Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi Mabena akitambulisha rasmi tuzo ya MTV Base itakayotolewa kesho July 18.

Huu ndio muonekana wa tuzo ya MTV Base.

K.O.

Msanii wa kike kutoka Afrika Kusini, Bucie.

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest.

Masta Just.

Yemi Alade.

Yemi Alade.


Peter wa psquare.

D’Banj

Diamond Platnumz akiteta jambo na meneja wake Salam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA