"DOGO" AJITOSA UDIWANI KUPITIA CHADEMA KATA YA KORONGONI MJINI MOSHI



Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Dogo ambaye ni Katekista wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Korongoni amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini

Dogo akiwa na wanachama hicho


Msafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.


Hapa ni furaha tupu.


Dogo akiwa na vijana wa chama hicho.


Akisaini wakati akichukua fomu.


Hapa ni ushindi tu.


Msafara huo kurudisha fomu.


Ni alama ya vidole viwili chadema .



Ni furaha tu kwa kwenda mbele.





Dogo ndani ya mchuma akienda kurudisha fomu.


Ni kama wanasema ushindi ni lazima.


Msafara huo wa kwenda kurudisha fomu.


Dogo akipongezwa na vijana wenzake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI