LOWASSA ATUA RASMI CHADEMA KUGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya chama hicho, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ambaye alitangaza kujiunga na chama hicho na kukubaliwa kugombea urais wa Tanzania kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo
Waziri Mkuu mstaafu, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowasa (CCM) na mkewe Regina wakionesha kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walizokabidhiwa baada ya kujiunga na chama hicho, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.