Mambo ni moto Nairobihizi ni dalili Rais Obama hayuko mbali… (Pichaz)



2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - CopyNdege kubwa ya Kijeshi ikiwa Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi Kenya.
Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta umekuwa busy sana zaidi hata ya ambavyo ulikuwa siku za nyuma.. unaambiwa kila siku hakukosekani stori kutoka Nairobi Kenya kuhusu ugeni wa Rais Obama.
air1
Usalama kwanza, YES.. Marekani hawana utani kabisa na Usalama wa Rais wao, zinashuka ndege kila siku pamoja na makundi ya watu wa Usalama ili kuhakikisha mpaka Rais Obama anatua hali inakuwa shwari japo kumekuwa na mashambulio mengi sana yanayohusiana na matukio ya Ugaidi.
Imetua ndege kubwa ya Kijeshi na vifaa vingine vingi zaidi.
air2
Msafara wa gari zilizoshushwa kwenye ndege hiyo.
air3
Kwa mbali unaonekana msafara wa gari kutoka Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA