MANCHESTER UNITED YAIBAMIZA BARCELONA 3-1

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi ambapo Barca waliweza kuonesha kumiliki mpira kwani waliweza kupiga pass 314 kwa 198 huku zikiwa zenye asilimia 90.8 dhidi ya zile 80.8 za Manchester United.
Manchester United Usiku wa Kuamkia jumapili ya tarehe 26/7/2015 waliweza kuandika historia katika Mchezo wa soka kwa kucheza Mechi na Magwiji wa soka kutoka Hispania timu ya Barcelona na Hadi kupyenga cha Mwisho ni Machester United iliyoibuka kidedea kwa Ushindi mnono kabisa wa Mabao 3 - 1 dhidi ya Barcelona.
Ni Manchester United ambao walikuwa wakwanza kuandika bao la Kwanza mnamo dakika ya 8 ya mchezo huo kupitia kwa Mchezaji Wayne Rooney ambaye alifunga Goli hilo baada ya Mpira wa Kona kupigwa na Ashley Young na Kumkuta yeye na kupiga Kichwa safi kabisa na kumuacha Mlinda mlango wa Barcelona Ter Stegen akishindwa kuokoa Mchomo huo.(P.T)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI