MAPOKEZI YA DK. MAGUFULI YATIA FORA DAR

 Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli, akigombewa kusalimiwa wakati wa mapokezi  kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
 Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli, akihutubia katika mkutano maalumu wa kujitambulisha kwa wananchi kwenye Uwanja wa Zakheim, Mbagala Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli, akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, alipowasli kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, tayari kujitambulisha kwa wananchi wa mkoa huo. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akikumbatiana na Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli

 Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli, akiwa na shada la maua alilozawadiwa wakati wa mapokezi Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
 Wananchi wakishangilia kwa furaha wakati Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano huo.

Mgombea Mteule wa Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia wananchi alipomaliza kuwahutubia katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI