MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma kadi yake ya kumpongeza kwa uteuzi baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula (kushoto) wakati wa mkutano maalum wa kuwashukuru wafanyakazi wenzake uliofanyika leo Julai 15, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, wakati alipokuwa akipokelewa alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Baada ya kuwasili Ofisini, Samia alikutana na wafanyakazi wenzake na kuwashuku kwa kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu hadi kufikia uteuzi huo.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru wafanyakazi wenzake. uliofanyika leo Julai 14, 2015 kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisalimiana na wafanyakazi wa Ofisi ya makamu wa Rais, wakati alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Baada ya kuwasili Ofisini, Samia alikutana na wafanyakazi wenzake na kuwashuku kwa kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu hadi kufikia uteuzi huo.

Baadhi ya wafanyakazi wakipiga picha ya kumbukumbu na Mhe. Waziri samia

Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kuwasili Ofisimi hapo leo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakimsikiliza Waziri Samia, wakati akizungumza nao kuwashukuru, katika kikao maalum kilichofanyika Ofisi ya Makamu wa Rais leo

Mkurugenzi Rasilimali watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dush-ood Mdeme, akizungumza kabla ya kumkribisha Kaitibu Mkuu, kuzungumza na kumkaribisha Waziri Samia kuzungumza.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, akizungumza kabla ya kumkaribisha Wziri Samia, kuzungumza.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.