MKUU WA JESHI LA POLISI ATEMBELEA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI KILICHOVAMIWA NA MAJAMBAZI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Jenerali Ernest Mangu akieleza mbele ya wanahabari kuhusu tukio la ujambazi lililosababisha askari wanne na raia watatu kuuawa wakati kituo cha polisi cha Stakishari,Ukonga Dar es Salaam leo.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi hilo, Ernest Mangu (wa pili kushoto), wakikagua  madhara yaliyosababishwa na majambazi waliovamia Kituo cha Polisi cha Stakishari, Majumba Sita, Dar es Salaam jana. (PICHA NA KHAMISI MUSSA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.