Picha kutoka msibani nyumbani kwa akina Banza Stone Sinza Dar


unnamed iiiKulikuwa na stori ya uzushi mitandaoni na June 24 nikamfata nyumbani kwao Sinza na kwenye majibu yake kulikuwa na hiki ambacho nilimnukuu pia >>>> ‘Sio mara ya kwanza kuzushiwa kifo, nasikia mara watu oooh banza kafa, mara ooh kila mtu anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima… naweza kufanya kazi ila kwa sasa siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili wangu
Screen_Shot_2015-06-24_at_10.34.33_PM1
Marehemu Banza Stone akihojiwa na AyoTV zaidi ya wiki mbili zilizopita.
Hiyo haikuwa mara ya kwanza Banza Stone kuzushiwa kifo.. muda mfupi baadae ikaja taarifa nyingine kwamba mwimbaji huyo ambaye alikuwa ni legend wa Muziki wa dansi Tanzania amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala Dar baada ya hali yake kuwa mbaya.
unnamed iv
Leo imetufikia nyingine, ni majonzi kwa kila mtu iliyemfikia taarifa hii, Banza Stone amefariki na hizi ni picha kutoka msibani, nyumbani kwa akina Banza Stone maeneo ya Sinza Kijiweni Dar es Salaam
unnamed v
unnamed vi
Mkurugenzi wa African Stars, Asha Baraka akiwa msibani. Banza aliwahi kuwa mwimbaji wa Bendi hiyo kwa kipindi kirefu sana.
unnamed
unnamedI
unnamedII
unnamedvi
unnamedvii

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.