RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO
Mama Salma Kikwete akimpa pole na
pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro
Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani
Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya
kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la
Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache
baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi
Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu
Chifu Kingalu wa 14.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na Kiongozi mpya wa kabila la Warugulu wa
Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini
Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na
hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
PICHA NA IKULU

Comments