VAN PERSIE HUYOOOO, ABEBA FAMILIA YAKE NA KUONDOKA MANCHESTER


Uturuki 4Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie ameshaondoka jijini Manchester kuelekea Istanbul, Uturuki kujiunga na klabu yake mpya ya Fenerbahce.
Uturuki 1Van Persie ameposti picha kwenye mitandao yake ya kijamii akiwa nje ya ndege binafsi yeye pamoja na familia yake kwenye uwanja wa ndege wa jijini Machester muda mchache kabla hajapaa kuelekea nchini Uturuki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA