WATANO WALIOTEULIWA NA KAMATI KUU HAWA HAPA

Kamati Kuu ya CCM imeteua majina matano yatakayokwenda kupigiwa kura katika Halmashauri Kuu ya CCM, ili kupata watatu watakaopigiwa kura kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho, kwa lengo la kumpata mmoja atakayepeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu ujao.

Kwa mujibu wa vyanzao vyetu vya habari ni kwamba, Walioteuliwa ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe, John Magufuli, Naibu Waziri wa Mawasiliano na  Teknolojia, January Makamba, Amina Salum Ally na Waziri wa Katiba na SDheria, Dk.Asha Rose Migiro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA