Waziri Mkuu, Mizengo Pinda AISALIMIANA NA ARFI

1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa Mpanda  Kati  kwa tiketi ya CHADEMA, Said Arfi mjini Mpanda  Julai 21 2015. Mheshiiwa Pinda yuko  Katavi kwa mapumziko mafupi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2
Kiboko akiwa  amejeruhiwa vibaya baada ya  kushambuliwa na Simba na kukimbilia mtoni katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Julai 21, 2015
3
Mamba wakiwa katika hifadhi ya Katavi Julai 21, 2015.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*