Waziri
wa Nishati na Madini, George Simbachawene (Kulia) akizungumza na Balozi wa
Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku mapema leo, Agosti 24, 2015
ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nishati na Madini, George Simbachawene (Kulia) akiwa na Balozi wa Afrika
Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku mapema leo Agosti 24, 2015 mara baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Makao Makuu ya Wizara, jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Nishati na Madini, George Simbachawene (Kulia) akimkaribisha Balozi wa
Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku. Balozi Mseleku alimtembelea
Waziri Simbachawene mapema leo (Agosti 24), ofisini kwake na kufanya nae
mazungumzo.
Balozi
wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku (katikati) akimweleza jambo
Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene (Kulia), alipomtembelea ofisini
kwake jijini Dar es Salaam mapema leo, Agosti 24, 2015 na kufanya naye
mazungumzo. Kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa Afrika Kusini nchini,
aliyeambatana na Balozi Mseleku, Bi Patiwe Mokoena.
Comments