BIMA YA AFYA YAWAPIGA MSASA MABLOGGER WA TBN

 Mkurugenzi wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Eugene Mikongoti (kulia) akifafanua kuhusu mpango wa uchangiaji binafsi wa matibabu (Kikoa), wakati wa semina na wanachama wa Chama cha Mabloga Tanzania (TBN), Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa muda wa TBN, Khadija Kalili na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Joachim Mushi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Athuman Rehani akitoa maada kuhusu manufaa ya kujiunga na mfuko huo. Kulia ni Mwenyekiti wa TBN, Mushi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkurugenzi wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Eugene Mikongoti (kulia) akifafanua kuhusu mpango wa uchangiaji binafsi wa matibabu (Kikoa), wakati wa semina na wanachama wa Chama cha Mabloga Tanzania (TBN), Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa muda wa TBN, Khadija Kalili na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Joachim Mushi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Baadhi mabloga wakiwa katika semina hiyo

 Baadhi ya mabloga wakisikiliza kwa makini wakati Mikongoti akitoa ufafanuzi wa kuhusu mpango wa Kikoa

 Mwenyekiti wa Muda wa TBN, Mushi akitoa shukrani  kwa NHIF baada ya semina hiyo kumalizika jana kwenye Ukumbi bwa Baraza la Maaskofu, Kurasini Dar es Salaam.
 Mikongoti wa NHIF akimkabidhi Mushi zawadi ya fulana ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu. Pia mabloga wengine walikabidhiwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA