DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU ZA URAIS NEC, JK ASEMA USHINDI NI LAZIMA

Mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli (kushoto) na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan wakionesha mkoba wenye fomu za kuomba kuwania urais baada ya kukabidhiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam
Dk. Magufuli akionesha mkoba huo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi nje ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam jana, Baada ya Mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli kuchukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakionesha mkoba wenye fomu za kuomba kuwania urais  baada ya kutoka kuzichukua  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam
 Sehemu ya umati wa watu wakiwa kwenye msafara wa  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan waliokuwa wakitoka kuchukua fomu za kuomba kuwania urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam

Baadhi ya wafuasi wa CCM wakimzonga kumsalimia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan waliokuwa wakitoka kuchukua fomu za kuomba kuwania urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais  leo agosti 4, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Magufuli alipowasili katika Viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba Dar mchana huo. 
Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgombea wa Urais wa CCM Dk Magufuli alipowasili viwanja vya CCM Lumumba mchana huo.
Mgombea Mweza wa Urais wa Tanzania Samiha Sululu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba baada ya kurejea kuchukua Fomu ya kugombea Urais Tume ya Uchaguzi. 
Mgombea Mweza wa Urais wa Tanzania Samiha Sululu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba baada ya kurejea kuchukua Fomu ya kugombea Urais Tume ya Uchaguzi. 

Katibu Mkuu wa CCM Abdullraham Kinana akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Dar-es-Salaam katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba wakati wa hafla ya kuchukua fomu ya kugombea Urais Dk John Magufuli na Mgombea wake Mwenza Samiha Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Dar-es-Saalam wakati wa hafla ya kumpokea Mgombea wa CCM akichukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania mkutano huo umefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Lumumba Dar.
Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Magufuli na Mgombea wake Mwenza Samiha Suluhu Hassan wakipanda katika jukwaa kusalimiana na Wananchi na kuonesha fomu yake ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.


Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania Samiha Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dar-es-Salaam wakati wa kurejea kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI