DK MAGUFULI AMMWAGIA SIFA LUKUKI ZA UCHAPAKAZI FILIKUNJOMBE WAKATI WA KAMPENI LUDEWA

 Wananchi wakiwa na vipeperushi vyenye picha ya Dk Magufuli na marais wa awamu ya kwanza hadi ya nne wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wilayani Ludewa, mkoani Njombe

 Ni furaha iliyoje kwa wakazi wa Ludewa mara  baada ya kumona mgombea urais w3a Tana znia kupitia CCM, Dk John Magufuli mjini Ludewa
 Bibi akitafakari ahadi nono zilizokuwa zikitolewa na Mgombea Urais kupitia CCM, Dk Magufuli hasa kuhusu pensheni kwa wazee ziztakazoanza kutolewa mwakani. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Ludewa
 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni mjini Ludewa. Ameahidi Serikali ya CCM itajenga barabara ya kiwango cha lami kutoka Njombe hadi Ludewa



 Dk Magufuli akimmwagia sifa Mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (kushoto)
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Luhwavi akihutubia na kumuombea kura Dk Magufuli mjini Ludewa
 Dk Magufuli akiwa amempakata mtoto mwenye ulemavu wa ngozi baada ya kumaliza mkutano wa kampeni mjini Ludewa
 Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk. Magufuli katika Kata ya Luhuhu, wilayani Ludewa leo
 Mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa akiwa na Dk Magufuli ndani ya Pantoni la Mto Luhuhu ambao ni mpaka wa Wilaya za Ludewa na Nyasa
 Dk Magufuli akishuka kwenye Kivuko cha Mto Luhuhu akitokea Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kwenda Mbinga  mkoani Ruvuma kuendelea na kampeni za urais ubunge na udiwani. Dk Magufuli ameahidi kujenga daraja la mto huo.
Dk Magufuli akiwaaga wananchi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.