DK MAGUFULI USO KWA USO NA RICHARD MWAIKENDA

 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli (kushoto), akizungumza jambo na Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, ambaye pia ni Mmiliki wa Mtandao huu wa Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda walipokuwatana kwenye hafla ya wasanii kumuaga Rais Jakaya Kikwete na kumkaribisha Dk. Magufuli kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
 Mmiliki wa Mtandao huu, Richard Mwaikenda, akitambulishwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kwa Dk. Magufuli kuwa katika ziara za kuimarisha uhai wa chama zilizokuwa zinaongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi Kinana katika mikoa yote nchini, alikuwa mwenyekiti wa wanahabari waliokuwa kwenye ziara hiyo.
 Mazungumzo yakiwa yamenoga kati ya Dk. Magufuli na Richard Mwaikenda
 Mwaikenda akimpongeza Dk. Magufuli kwa kuteuliwa kupepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick.
 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli (kushoto), akizungumza jambo na Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, ambaye pia ni Mmiliki wa Mtandao huu wa Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda walipokuwatana kwenye hafla ya wasanii kumuaga Rais Jakaya Kikwete na kumkaribisha Dk. Magufuli kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.