HABARI MPASUKOOOO...NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA DK. MAKONGORO MAHANGA AJIUNGA NA CHADEMA



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa CCM jimbo la Segerea anayemaliza muda wake, Dkt.
Milton Makongoro Mahanga ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Dkt. Mahanga ametangaza uamuzi huo
leo mbele ya waandiishi wa habar leo nyumbani kwake, Segerea Mwisho...Makongoro ameshindwa katika kura za maoni za kuomba kuwania ubunge Jimbo la Segerea kupitia CCM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU