mafunzo ya ufugaji bora wa nyuki na Ujasiriamali yafanyika mkoani singida

01
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mh. Said Ally akiongea na wanasemina katika mafunzo ya upandaji miti, ufugaji bora wa nyuki na Ujasiriamali iliyofanyika katika ukumbi wa Luluma Singida hivi karibuni.
02
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.
03
Mgeni rasmi wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania mara baada ya mafunzo Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Sing

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.