Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati
wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo
katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha
leo
Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha leo
Naibu
Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu akimuombea kura mgombea Urais
kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo jijini Arusha
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia, akimuombea kura
mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa
kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
Mbunge
wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha, akimuombea kura mgombea Urais kwa
tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika
leo jijini Arusha
Mkuu
wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda Kijiko, akimuombea kura mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo jijini Arusha
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha leo
Wananchi wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha leo
Wananchi
wakiwa na bago la kuonyesha imani kwa mgombea mwenza wa urais kwa
tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassani, katika mkutano wa hadhara
uliofanyika leo jijini Arusha.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akipokea kadi ya
CUF kutoka kwa kada wa Chama hicho Sheikh Khalid Abubakar, aliyeamua
kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo jijini
Arusha.
Wananchi
wakiwa na bango la kiutakia ushindi CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba
mwaka huu, wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM, uliofayika leo Usa
River, Arumeru mkoani Arusha leo
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Rais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan, ukiwa njiani mkoani Arusha leo kuendelea na kampeni mkoani.
Wananchi
wakimlaki kwa furaha mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan, alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro.
Kijana katika jimbo la Hai, Kilimanjaro akishangilia kiaina, Mgombea
mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, alipowasili
kwenye mkutano huo.
Kina mama wakijimwayamwaya kumkaribisha Mama Samia kuhutubia mkutano wa hadhara leo katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Danstan Mallya katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Hai, Machame mkoani Kilimanjaro, leo |
Kinamama
wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la Siha
mkoani Kilimanjaro leo.
Kinamama wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la
Siha mkoani Kilimanjaro leo
Mgombea
ubunge jimbo la Siha kwa tiketi ya CCM, Aggrey Mwanri akimwaga sera,
wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo leo
KIMBUNGA:
Baadhi ya wananchiwaliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea Mwenza a
Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kijiji cha
Oloiwa, Kata ya Donyomorwa, Jimbo la Siha, wakijaribu kukifukuza kwa
vidole kimbunga kipite nje ya mkutano, baada ya kimbunga hicho
kilichoambatana na vumbi kali, kutokea ghafla wakati mkutano huo
ukiendelea.
Kinana
Mama wakimtuza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Oloiwa,
jimbo la Siha leo
Mgmbea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi
mgombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro, Aggrey Mwanri katika
mkutano huo leo
Wananchi
wa Usa River wakiwa wamejipanga kandoni mwa barabara, kumlaki Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili
kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika eneo hilo la Usa River Arumeru
mkoani Arusha leo
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo wa Usa River, Arumeru Mashariki mkoani Arusha leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
umati wa wananchi leo katika Viwanja vya Usa River, jimbo la Arumeru
Mashariki mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Comments