MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANABUKOMBE KUWA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO 2015


Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma “KING”

 Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira ya dhati yakuwatumikia watanzania tangu akiwa Naibu Waziri.

“Tunahitaji Rais Mchapa kazi,sio Rais aliyezungukwa na Genge la wapiga Dili”Mwigulu.

 Sehemu ya Mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Bukombe.

 Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoa wa Singida wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi.



“CCM ni Ile Ile”

 Wanabukombe wakifurahia Mkutano wa Chama cha Mapinduzi,Wameahidi kuwa Miaka 5 walioyokuwa na Prof.Kahidi wa CHADEMA imekuwa yauchungu sana kwao,Hivyo kwa Uchaguzi huu kura zote kwa Dotto wa CCM.

 Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa mwaka2015 ambayo Madiwani,Wabunge na Mgombea Urais wa CCM ataitumia kutekeleza Shughuli za Maendeleo Nchini Tanzania.

Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe Ndg.Dotto Mashaka.


Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano huo.

Picha na Sanga Jr.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.