Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Upanga jijini Dar es salaam
alipokwenda kwenye msiba wa mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu
Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya taifa
ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu Mzee
Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama
cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na
utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akimfariji mjane wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter
Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya taifa ya
Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu Mzee
Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama
cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na
utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.PICHA NA IKULU
Comments