Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Mhe.Alpha Oumar Konare ambaye ni
msuluhishi wa Umoja wa Afrika(AU) katika mgogoro wa Sudan ya Kusini
ikulu jijini Dar es Salaam jana.Mbali na majadiliano yaliyohusu vita vya
wenyewe kwa wenyewe katika taifa changa la Sudan ya Kusini Bwana Konare
ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Mali(1992-2002) na mwenyekiti mstaafu wa
Kamisheni ya Umoja wa Afrika alimweleza Rais Kikwete umuhimu wa kutumia
Kiswahili katika mikutano ya Umoja wa Afrika.(picha na Freddy Maro)
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments