SIMBA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA


Beki wa URA ya Uganda, Sam Sekito akilala chini kujaribu kuondosha mpira miguuni mwa beki wa Simba SC, Hassan Kessy bila mafanikio katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-1
Mshambuliaji wa Simba SC, Kevin Ndayosenga akifumua shuti kuifungia bao la kwanza timu yake jana
Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akipambana na kiungo wa URA, Said Kyeyune
Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka beki wa URA, Sam Sekito

Beki wa URA, Bob Kasozi akijaribu kumgeuza mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga baada ya kumpokonya mopira
Wachezaji wa URA wakimdhibiti beki wa Simba SC, Samih Haji Nuhu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU