MAOFISA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL DAR

 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima na baadhi ya askari wa kikosi hicho wakimsikiliza kwa makini mtaalamu wa kusindika bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emanuel Sawe (kushoto), walipotembea kiwanda hicho, Dar es Salaam kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.
 Mtaalamu wa kudhibiti Ubora na Ukaguzi wa bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lydia Raphael (kulia), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna  Msaidizi Peter Sima, alipotembelea kiwanda hicho jana akiwa na baadhi ya Maofisa na Askari kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.
 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima (wa tatu kulia), akishikana mkono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu, baada ya Kamishna huyo na baadhi ya Maofisa na Askari kushiriki semina fupi ya nenda kwa usalama na TBL, Dar es Salaam


Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa wa Askari wa kikosi hicho na maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, 
Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima akiwa katika picha ya pamoja 
na baadhi ya Maofisa wa Askari wa kikosi hicho na maofisa wa 
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kushiriki semina fupi ya wiki 
ya nenda kwa usalama, Dar es Salaam









Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima na baadhi ya Maofisa na Askari wa kikosi hicho wakimsikiliza mtaalamu wa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emanuel Sawe (kulia), wakati akiwaonyesha jinsi mitambo ya uzalishaji bia inavyofanya kazi, walipofika kushiriki semina fupi ya nenda kwa usalama na TBL Dar es Salaam









m










Mtaalamu wa kudhibiti Ubora na Ukaguzi wa bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lydia Raphael (kulia), akifafanua jambo kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Peter Sima, alipotembelea kiwanda hicho jana akiwa na baadhi ya Maofisa na Askari kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.