ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kushoto) akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula alipowasili katika eneo la Mtambo wa Ruvu juu Darajani Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani Agosti 25, 2015  wakati wa ziara ya siku tatu ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA).
14
Ujenzi uifadhi wa pampu ukiendelea.
IMG_2598
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akikagua moja ya transfoma ya umeme kwaajili ya kuongeza uwezo wa utendaji kazi wa mashine mpya zitakazo fungwa,Waziri  Amos Makalla anafanya ziara  siku tatu ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA).
????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akipata maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi kuhusiana na upanuzi wa mtambo wa kuongeza uzalishaji kutoka mita za ujazo 82,000 hadi 196,000 kwa siku.
????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji ruvu Darajani.
????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.
????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula, Injinia Masudi Omari, Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi  wakikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha kusafisha maji cha ruvu juu . 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.