ALIYEPANGA MASHAMBULIZI YA PARIS AUAWA


Mtuhumiwa namba 1 aliyepanga mashambulizi ya Paris, Abdelhamid Abaaoud ‘Mastermind’ enzi za uhai wake.Abdelhamid Abaaoud akifanya mnazoezi ya kulenga shabaha. …Akiwafunga na kuwaburuza kwenye gari mateka aliowaua tayari.Jinsi oparesheni ya kuwasaka watuhumiwa kwenye Kitongoji cha Saint-Denis, Paris yalivyofanyika jana.
Mmoja wa watuhumiwa akiwa amepigwa risasi na kuuawa.

Polisi na kikosi cha uokoaji wakiwa kazini kwenye oparesheni ya jana.Mtuhumiwa namba mbili wa mashambulizi ya Paris, Hasna Ait Boulahacen “The Cow Girl’.

Hasna Ait Boulahacen alivyopishana na askari kwenye lango la nyumba waliyokuwa wakiishambulia askari kuwasaka watuhumiwa.Uvamizi wa askari katika Kitongoji cha Saint Denis, jana.Polisi walivyojipanga kukivamia Kitongoji cha Saint Denis, Paris jana.
Watu walivyouawa kwenye shambulio la Ijumaa, Paris, Ufaransa.
Paris, Ufaransa
MWENDESHA mashtaka nchini Ufaransa amethibitisha kwamba, mtuhumiwa namba aliyepanga mashambulizi ya Paris, Abdelhamid Abaaoud ameuawa kwenye operesheni maalum ya kumsaka ilioyoanza jana.
Abaaoud ndiye alikuwa akisakwa na polisi waliovamia nyumba moja katika Kitongoji cha Saint Denis kilichopo Kaskazini mwa Paris, Ufaransa.
Awali, mwendesha mashtaka wa Paris Francois Molins alikuwa amesema Abaaoud na mshukiwa mwingine Salah Abdeslam hawakuwa miongoni mwa watu wanane waliokamatwa.
Hata hivyo, miili ya watu wawili waliouawa ilikuwa bado haijatambuliwa na baada ya uchunguzi imebainika kwamba Abooud aliuawa.
Hayo yakijiri, wabunge nchini Ufaransa wanatarajiwa kupiga kura kuongeza muda wa kutekelezwa kwa hali ya hatari.
Wapiganaji wa Islamic State (IS), ambao wanadhibiti maeneo ya Syria na Iraq walisema ndio waliohusika katika mashambulio hayo yaliyoua watu 129 na wengine 400 kujeruhiwa Ijumaa iliyopita.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI