DK TULIA MWANSASU ASHINDA UNAIBU SPIKA

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akimkabidhi Naibu Spika mpya, Dk Tulia Akson Mwansasu  katiba baada ya kumwapisha kushika wadhifa huo. Tulia alishinda baada ya kumbwaga Mgombea wa Ukawa, Magdalena Sakaya kwa kupata jumla ya kura 250 asilimia 71.2. Sakaya alipata kura 101 sawa na asilimia 28.8. Samahani picha siyo nzuri zimepigwa kwenye TV.
 Dk Tulia Akson Mwansasu
 Dk Tulia akitoa shukrani baada ya ushindi

 Ndugai akitia saini kwenye kiapo

 Dk Tulia akipongezwa na wabunge






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.