HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Wananchi watoa maoni yao juu ya ushindi wa Job Ndugai kama spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania;https://youtu.be/b_SPLDSrhq8

SIMU.TV: Uchafuzi wa mazingira unaotokana na shughuli za viwanda umeendelea kuwa na adhari kwa ustawi wa jamii na maendeleo duniani kote; https://youtu.be/36vdaaftMqI

SIMU.TV: Hatimaye wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki jijini Dar Es Salaam warejea kazini baada ya madai yao kushughulikiwa; https://youtu.be/7DALcCgBZf8

SIMU.TV: Jeshi la polisi Mkoani Tabora linawasaka watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi walioteka magari 4 na kupora fedha na mali za wasafiri. https://youtu.be/0oLm2T4E2Sw

SIMU.TV:   Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi na imekusudia kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi. https://youtu.be/g5-lb3sZLjo

SIMU.TV: Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemchagua Mhe. Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 LA Jamhuri ya Muungano wa TZ.  https://youtu.be/HoEq8IffBpc

SIMU.TV:  Watu 2 wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere kwa tuhuma za kusafirisha Nyara za Serikalihttps://youtu.be/C1d8Qv3dCGs

SIMU.TV: Bunge la 11 la Jamhuri ya muungano wa TZ limeanza vikao vyake jana na kumchagua Job Ndugai kuwa spika wa Bunge hilo. https://youtu.be/rnlKV6z8pUE

SIMU.TV:   Kocha mkuu  wa Simba SC ameitaka kamati ya ufundi wa klabu hiyo kufanya marekebisho katika kikosi chake kipindi cha usaili; https://youtu.be/Bu8bsywj518  

SIMU.TV: Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa Ubelgiji na Hispania wafutwa kutokana na hofu ya usalama kufuatia shambulizi lililotokea Paris; https://youtu.be/9Smstanac44


Regards

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.