HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI.


SIMU.TV: Baadhi ya waandishi wa habari nchini wametoa maoni yao kuhusu hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa katika uzinduzi wa Bunge. https://youtu.be/ERXaYkypZC4

SIMU.TV: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi NEC imetoa taarifa ya kufanyika uchaguzi kesho katika majimbo 2 kutokana na Vifo vya wagombea. https://youtu.be/3OzYleOvGtg

SIMU.TV: Ofisi ya Bunge ikishirikiana na CAG watafanya mafunzo ya kujenga uwezo kwa wabunge juu ya matumizi bora ya fedha za Serikali. https://youtu.be/OknTK7Hk0a0

SIMU.TV: Mbunge wa Zamani Wa Temeke Ndg. Abbas Mtemvu afungua rasmi kesi mahakamani kupinga matokeo ya Uchaguzi katika jimbo hilo. https://youtu.be/7PCmeyiXbHc

SIMU.TV: Jumla ya watu 1396 wameugua ugonjwa wa Kipindupindu mkoani Tanga huku watu 13 kufariki dunia tangu kuzuka kwa ugonjwa huo. https://youtu.be/mW-d8AuIYFA

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Geita amepiga marufuku maandamano Ya CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika siku ya maziko ya Alphonce Mawazo. https://youtu.be/TKwhtfiN6lI

SIMU.TV: Bohari ya dawa nchini MSD imetekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kupeleka vitanda na vifaa tiba  katika kitengo cha mifupa hospitali ya Muhimbili; https://youtu.be/Cl7HQrNjwwc    

SIMU.TV: Wananchi wa Lushoto na Ulanga Mashariki wanatarajiwa kupiga kura kesho kuchagua wabunge watakao wawakilisha katika bunge la 11; https://youtu.be/X4h4ey-xBqY

SIMU.TV: Raia mmoja wa Uingereza amekamatwa na kilo 22 za mirungi katika uwanja wa ndege wa Taifa  akitaka kuisafirisha kwenda Uingereza; https://youtu.be/qXhhEj2Ayos

SIMU.TV: Polisi Mkoani Mwanza imezui mikusanyiko mikubwa ya watu ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu;https://youtu.be/RYEdITlKmCU

SIMU.TV: Tanzania imekuwa kinara katika uwekezaji Afrika Mashariki kwa zaidi ya dola za Kimarekani Bil.2 kwa mwaka 2014-2015 https://youtu.be/ap1a9y3V6qQ

SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Mohamed Shein amekagua eneo la miradi ya  ujenzi wa makazi ya watu na viwanda katika eneo la Fumba visiwani humo; https://youtu.be/RIOUo_TyfhU

SIMU.TV: Watendaji kushindwa kubuni vyanzo vya mapato kumeelezwa kukwamisha maendeleo katika Halmashauri nyingi nchini; https://youtu.be/mRwQCFWTFDw

SIMU.TV: Timu ya JKT Ruvu imepanga kulitumia dirisha dogo la usajili kupata wachezaji wapya ili kuleta changamoto katika timu hiyo; https://youtu.be/Nfpt18BnBw8

SIMU.TV: Timu ya Uingereza imefanikiwa kuongoza katika mashindano ya mbio za magari za Race Of Champions yaliyofanyika jana nchini humo; https://youtu.be/UgfTYeNoupc

SIMU.TV: Mtangazaji mwandamizi wa vituo vya radio na televisheni nchini Tanzania Prince Kamukulu amefariki dunia  na kuagwa leo jijini Dar Es Salaa: https://youtu.be/bnLdRVa7C3Y

SIMU.TV: Vigogo wa FIFA wanaotumikia adhabu kwa ajili ya kosa la rushwa wamezidi kukabiliwa na wakati mgumu baada ya kufungiwa kwa siku tisini: https://youtu.be/OmzhKDPT8tw

Regards
Attachments area
Preview YouTube video Waandishi Wa Habari Nchini Watiririka Juu Ya Hotuba Ya Rais Magufuli Preview YouTube video NEC Yatangaza Marudio Ya Uchaguzi Kesho Kwa Majimbo 2 Preview YouTube video Anne Makinda Akabidhi Rasmi Ofisi Kwa Spika Job Ndugai Preview YouTube video Abbas Mtemvu Atimba Mahakamani Kupinga Matokeo Ya Ubunge Temeke Preview YouTube video Kipindupindu Chaimeza Tanga Preview YouTube video DC Geita Apinga Maandamano CHADEMA Maziko Ya Alphonce Mawazo Preview YouTube video MSD Yatekeleza Agizo La Rais Magufuli Preview YouTube video Lushoto, Ulanga Kupiga Kura Kesho Preview YouTube video Raia Wa Uingereza Akamatwa na Mirungi UwanjaWa Ndege Preview YouTube video Polisi Wazuia Mikusanyiko Mwanza Preview YouTube video Tanzania Kinara Uwekezaji Afrika Mashariki Preview YouTube video Dkt Shein Akagua Miradi Zanzibar Preview YouTube video Kukosekena Kwa Ubunifu Kwakwaza Upatikanaji Mapato Preview YouTube video JKT Ruvu Yapania Kuimarisha Kikosi Preview YouTube video Uingereza Yaongoza Mbio Za Magari. Preview YouTube video Kifo Cha Mtangazi Maarufu Wa Burudani Preview YouTube video Vigogo Wa FIFA Wakabiliwa Na Wakati Mgumu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.