HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Maafisa ardhi 10 wa wilaya ya Kinondoni wamekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kuchelewa kufika eneo lenye mgogoro wa Ardhi.  https://youtu.be/03ceWrnJtSk

SIMU.TV: Mahakama kuu kanda ya Mwanza inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga zuio la Jeshi la polisi kuaga mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo.  https://youtu.be/L8YlgPLzdso

SIMU.TV: Mwenyekiti wa ulinzi na usalama Babati Manyara aliagiza jeshi la polisi kuwakamata Viongozi kwa tuhuma za kufanya njama ya uzulumaji.https://youtu.be/aucSylfeIF4

SIMU.TV: Kamati ya afya visiwani Zanzibar imefanya ziara ya kushitukiza katika masoko ya chakula na kukuta hali ya usafi isiyoridhisha inayoweza kupelekea milipuko ya magonjwa. https://youtu.be/OKiNE6GSXqA

SIMU.TV: Chama cha soka Mkoani Geita kimeingia mkataba na aliyekuwa Kocha wa klabu ya Simba Suleiman Matola ili kukinoa kikosi hicho;https://youtu.be/SPWOhuh1Q-8

SIMU.TV: TFF ikishirikiana na FIFA imeandaa tamasha la mpira wa miguu ambalo limelenga kuhamasisha wanawake kushiriki katika mchezo huo;https://youtu.be/SvnB0bA5Dw4

SIMU.TV: Chama cha soka Mkoani Geita kimeingia mkataba na aliyekuwa Kocha wa klabu ya Simba Suleiman Matola ili kukinoa kikosi hicho;https://youtu.be/SPWOhuh1Q-8

SIMU.TV: Barcelona wamechomoza kwa ushindi wa magoli sita kwa moja dhidi ya timu ya AS Roma katika uwanja wa nyumbani kwao:https://youtu.be/MGS_ZmPAva4

Regards

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.