JOB NDUGAI AUKWAA USPIKA WA BUNGE

Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai ameshinda kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa kuwabwaga wagombea wengine 7 kutoka vyama mbalimbali vya upinzani katika uchaguzi uliofanyika leo bungeni Dodoma ..

.Ndugai amepata jumla ya kura 254, wakati Goodluck Ole Medeye wa Chadema aliyewakilisha Ukawa amepata jumla ya kura 109.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.