KIKAO CHA PILI CHA BUNGE

SIMU.TV: Kikao cha pili cha bunge la 11 kikiendelea ikiwa ni muendelezo wa zoezi la kuapishwa kwa wabunge jijini Dodoma;https://youtu.be/vd1145sZAmM  

SIMU.TV: Mbunge mteule wa jimbo la  Vunjo James Mbatia akila kiapo cha kuthibitihsa utumishi wake katika bunge la Tanzania; https://youtu.be/DW-Zjfa-PDg

SIMU.TV: Viapo wanavyoapa wabunge pindi wanapoingia bungeni, je vinaleta hofu na wajibu wa kutekeleza majukumu yao katika majimbo yao?  https://youtu.be/Pk9UTeIPI-U 

SIMU.TV:  Unakumbuka michango gani aliyotoa Mh.Martha Mlata katika bunge lililopita na una matarajio gani kutokana na kurudi kwake bungeni?https://youtu.be/Dz78Ns03kP8

SIMU.TV:  Mbunge Mh.Nape Nauye pamoja na mbunge wa Tarime aliyerudi tena bungeni Mh.Ester Matiko wakila kiapo cha uaminifu bungeni https://youtu.be/h5Ib3118L2U

SIMU.TV:  Mbunge kupitia tiketi ya CCM, Mh.Mwiguru Nchemba amekula kiapo kuitumikia kwa nguvu zake zote serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania: https://youtu.be/bYCaRBYxrDw

SIMU.TV:   Wabunge wa serikali ya awamu ya tano ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania waapa kuitumikia vema nchi ya Tanzaniahttps://youtu.be/mbG488yCE1w

SIMU.TV:   Baada ya baadhi ya wabunge kula kiapo, Spika Job Ndugai ahairisha bunge hivyo kumalizia zoezi hilo ifikapo jioni; https://youtu.be/U51Y2CkBKvo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.