SHAMRASHAMRA ZA KUPATA WAZIRI MKUU MPYA NA NAIBU SPIKA BUNGENI DODOMA

 Shamra shamra zilianzia hapa: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akionesha kwa wabunge barua rasmi ya uteuzi wa jina la Waziri Mkuu Mteule Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa kutoka kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Bungeni mjini Dodoma leo asubuhi.
 Waziri Mkuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa akiwashukuru wabunge baada ya kuthibitishwa kwa kura nyingi Bungeni mjini Dodoma  Novemba 19, 2015

 “…Tummogeleee, Tummogele,,,, mwana wetu…Tummogelleeee…” Wabunge wanawake wakiimba kwa chereko  na Naibu Spika Dkt. Tulia Mwansasu (wapili kulia) baada ya kuapishwa bungeni mjini Dodoma Novemba 19, 2015.
 Waziri Mkuu Mteule, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akipongezwa  na Spika wa Bunge  Mhe. Job Ndugai baada ya kuthibitishwa na Bunge Novemba 19, 2015
 Waziri Mkuu, Mteule Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa  na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah baada ya kutibitishwa na Bunge mjini Dodoma Novemba 19, 2015. 
 Waziri Mkuu Mteule Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 19 2015 (PICHA NA MICHUZIBLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.