SPIKA NDUGAI, WABUNGE WALA KIAPO BUNGENI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai  akila kiapo cha kushika wadhifa huo bungeni Dodoma

 Ligora akila kiapo cha ubunge bungeni
 Ligora akipatiwa  kiapo na Bibilia na Spika Ndugai tayari kwenda kuapa



  Mbunge wa Jimbo la Msalala, Ezekiel Maige (CCM) akiloa kiapo bungeni Dodoma
 Spika mpya wa Bunge, Job Ndugai akimpongeza  Mbunge wa Jimbo la Msalala, Ezekiel Maige (CCM) baada ya kumuapisha bungeni Dodoma

 Ndugulile wa Jimbo la Kigamboni, akila kiapo
 Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya (Chadema), akila kiapo kushika wadhifa huo bungeni Dodoma
 Bulaya akipongezwa na Spika Ndugai
 Mbunge wa Jimbo la Kyera, Harrison Mwakyembe akila kiapo
Ndugai akimpongeza Mwakyembe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.