SIMU.TV: Mabilioni ya sherehe za uhuru kutumika kupanua barabara ya Mwenge- Morocco. Rais Magufuli ashusha maelekezo kwa mashirika ya umma; https://youtu.be/rfmK8SyK3V0
SIMU.TV: Rungu jipya, serikali ya Magufuli kupunguza wafanyakazi katika ofisi za umma. Sheikh Ponda aachiwa huru Morogoro; https://youtu.be/emLq7TEa7aU
SIMU.TV: Vigogo zaidi TRA mbaroni. Pro. Lipumba ateta na Rais Magufuli. Msiri wa vigogo atoroka Kenya. Zitto aibuka na ufisadi tril.1.2; https://youtu.be/0eRsZybIG0U
SIMU.TV: Kili Stars yatolewa kwa mtutu Chalenji. Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh.1.3 trilioni. Pluijm aongeza dozi kuwakabili Mgambo; https://youtu.be/z_aPUY_EdsI
SIMU.TV: Ulaji wa wabunge wafyekwa, Rais Magufuli aagiza wang’olewe kwenye bodi za mashirika ya umma. Pata habari za kisiasa, michezo na buradini katika magazeti ya leo; https://youtu.be/3MG7lAqfEWk
Regards
Comments