HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Serikali  imeombwa kuboresha huduma za afya katika wilaya ya Nyanguge ili kutatua changamoto mbalimbali za afya wilayani humo; https://youtu.be/kmA3WYO_Tuw 

SIMU.TV: Mh.Charles Mwijage ameeleza adhma ya serikali kuanzisha viwanda nchini ili kuongeza fursa za ajira pamoja na vyanzo vya mapato kwa serikali, https://youtu.be/75_ag0royUU

SIMU.TV: Je unaposikia suala la elimu bora, ni jambo gani ambalo linakuja katika akili zako? Hebu fahamu maana halisi ya elimu bora hapa; https://youtu.be/HtjzkLY1yPQ

SIMU.TV: Kutana na mtaalam wa hali ya hewa kutoka TMA akielezea ni kwa kiasi gani watumiaji wa huduma za mamlaka hiyo wanatumia taarifa za hali ya hewa; https://youtu.be/pzndmRm0k5s

SIMU.TV: Mh.Hamad Masuni amezitaka taasisi za serikali kutekeleza miradi katika jamii bila kujali tofauti  za kisiasa zilizopo katika jamii;https://youtu.be/IPWfMTQYU7w

SIMU.TV: Mtandao wa wakulima wa nchi za Afrika mashariki na kusini unafanya jitihada ya namna nchi za Afrika zitakavyoweza kusaidia wakulima kukabiliana na mafuriko. https://youtu.be/MOzg_jwCOPA

SIMU.TV: Waziri wa Ofisi ya makamo wa rais muungano na mazingira Luhaga Mpina amesema serikali imejipanga kukabiliana na matatizo ya mabadiliko ya tabia ya nchi. https://youtu.be/sDMGEk38n0w

SIMU.TV: Rais Magufuli ametembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kushuhudia msongamano mkubwa wa wazazi. https://youtu.be/Yv8gqnB4GV4

SIMU.TV: Zaidi ya nyumba 30 zimebomolewa jana wilayani Bariadi mkoani Simiyu chini ya usimamizi wa TANROADS kwa waliopewa notisi ya siku 30. https://youtu.be/Bjk_P8M15kY

SIMU.TV: Mabigwa watetezi wa ligi kuu Yanga wanatarajiwa kuweka kambi visiwani Pemba kukabiliana na mtanange wake na Simba.https://youtu.be/qSwTIaB-MYY

SIMU.TV: Kocha wa Twiga Stars amewaomba ushirikiano watanzania kuisaidia timu hiyo kufuzu fainaili za michezo ya mataifa ya Afrika.https://youtu.be/hAjQDfaHaw8

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU