SIMU.TV: Askari watatu wa jeshi la polisi Singida wafariki dunia baada ya kupata ajali wakati wakiwa kwenye msafara wa Rais Magufuli kuelekea mkoani Dodoma.https://youtu.be/KUTwrEBi4bk
SIMU.TV: Zaidi ya wanawake elfu 9 waliokwenda kujifungua katika vituo vya afya mkoani Singida kati ya mwaka 2013/ 2015 wabainika kuwa wamekeketwa.https://youtu.be/0FL0wjNjssA
SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Lindi labainsha kupungua kwa matukio ya uhalifu mkoani humo katika kipindi cha mwaka 2015 ukilinganisha na mwaka 2014.https://youtu.be/odjf3yUstTU
SIMU.TV: Asasi za kiraia nchini zatakiwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya utoaji wa elimu ya mpiga kura ikiwa ni sambamba na kushirikiana na tume ya uchaguzi NEC katika kuelimisha umma juu ya wajibu na haki za msingi.https://youtu.be/rlHb5ln5VkA
SIMU.TV: Kaya zaidi ya 60 mkoani Lindi zakubana na adha baada ya mafuriko kufunika makazi yao pamoja na mali zao ikiwemo mashamba. https://youtu.be/cRGW94n4EWg
SIMU.TV: Chama cha mapinduzi mkoani Iringa chawataka wabunge kuwasilisha matatizo ya wananchi wao wawapo bungeni badala ya kutupiana vijembe visivyojenga taifa.https://youtu.be/scbvHCzU3CU
SIMU.TV: Wazazi na walezi nchini waaswa kuhakikisha watoto wao wanapita katika misingi ya dini ili waweze kujifunza mambo mema yatakayo waepusha na vitendo viovu kama matumizi ya dawa za kulevya.https://youtu.be/HIat7EvwIBo
Preview YouTube video Askari 3 Wafariki Msafara wa Magufuli
Preview YouTube video Athari za Ukeketaji Singida
Preview YouTube video Matukio ya uhalifu Mkoani lindi
Preview YouTube video Tathimini ya Uchaguzi 2015
Preview YouTube video Mafuriko Yawatesa Wakazi wa Lindi
Preview YouTube video CCM Iringa Yatoa Rai kwa Viongozi
Preview YouTube video Wazazi na Walezi Wapewa Changamoto
Comments