HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Serikali yaweka lengo lenye nia ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2020 , ailimia 50 ya watanzania wote wawe wamejiunga na mfuko wa afya wa hifadhi ya jamii. https://youtu.be/vLoKdCo_t7g
Hali ya baadhi ya miundombinu ya barabara katika jiji la Dar es salaam yaelezwa kuwa mbaya kutokana na kutofanyiwa ukarabati kwa muda kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha. https://youtu.be/cJQaN7mXNGc
Wizara ya fedha na mipango na mipango imeonya kuwachukulia hatua kali baadhi ya wananchi wakaothibitika na ukwepaji wa kodi. https://youtu.be/N8p2z4prYo0

Serikali yaagiza wakandarasi waliositisha ujenzi wa miundombinu nchini kuendelea na kazi zao baada ya kuwalipa sehemu ya deni. https://youtu.be/ErTNgmOJA6o

Baadhi ya wagonjwa katika hospitali ya Mji Mwema manispaa ya Songea mkoani Ruvuma waelezwa kujisaidia kwenye ndoo na madishi kutokana na kufurika kwa vyoo hospitalini hapo. https://youtu.be/4_aE74gDBFw
Wajumbe 2 katika tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC kutoka chama cha wananchi CUF wapinga marejeo ya uchaguzi na kudai mwenyekiti wa tume hiyo amepoteza sifa kisheria na kikatiba kusimamia uchaguzi.https://youtu.be/LKlFASsChG0

[9:44:50 PM] samwel kamugisha: Serikali yafanikiwa kulipa deni la shilingi bilioni 400 kwa baadhi ya makandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara nchini; https://youtu.be/3HfYYhLJw4k

Madiwani  wilayani Kaliua mkoani Tabora wamesema mwaka ujao wa fedha wataelekeza juhudi katika miradi michache inayoweza kukamilika kwa wakati; https://youtu.be/3dd7mSAkJuE

Serikali yatoa onyo kali kwa maafisa maendeleo ya jamii watakaoshindwa kupambana na vitendo vya ukeketaji katika jamii; https://youtu.be/ZT2Y2ml7bBc

Ng’ombe zaidi ya 110 wazuiwa wilayani Misenyi mara baada ya kubainika kuwa wanaugonjwa wa midomo na miguu pamoja na mapafu; https://youtu.be/OS0irQALY3o

Inaripotiwa kuwa ofisi ya bunge mkoani Dodoma yaanza ukarabati wa jengo la ukumbi wa bunge;https://youtu.be/PSQnaODfNw0
Serikali wilayani Nachingwea yaahidi kujenga ukuta katika shule ya sekondari ya wasichana Nachingwea ili kudhibiti vitendo vya kihalifu; https://youtu.be/MFYgFDKkLuc

Miili ya askari watatu wa jeshi la polisi waliopoteza maisha katika ajali ya gari  iliyotokea jana wilayani Ikungi mkoani Singida yaagwa; https://youtu.be/BBDbJ48J9XY

Timu ya Yanga yaitandika JKT Ruvu kwa jumla ya goli 4 kwa 0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/RAHjbv1yUNM

Shirikisho la soka nchini Sudani kusini latangaza kumuunga mkono mgombea Urais wa FIFA, Gianni Infantino kutokana na mipango aliyonayo juu ya taifa hilo; https://youtu.be/bETRiWHWIbs

Vikosi vya ulinzi na usalama visiwani Zanzibar vyatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kutetea mapinduzi ya Zanzibar; https://youtu.be/4wt7jkX-L4E

Mahakimu visiwani Zanzibar watakiwa kutenda haki kwa usawa  kwa kila mwananchi wakati wa kutoa hukumu; https://youtu.be/pXJHe_Ax7dE

Wananchi visiwani Zanzibar washauriwa kujiunga katika vikundi vidogo vya kiujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi; https://youtu.be/tglSThQi4MA

Vijana visiwani Zanzibar watakiwa kuwa makini na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ili kuepusha matatizo yanayoweza jitokeza; https://youtu.be/XO6wDvBiYAI

Attachments area
Preview YouTube video Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Preview YouTube video Uharibifu wa Barabara Kinondoni Preview YouTube video Serikali Yalia na Wakwepa Kodi Preview YouTube video Serikali Yawataka Wakandarasi Kuendelea na Kazi Preview YouTube video Vyoo vya Wagonjwa Vyafurika Uchafu Songea Preview YouTube video Wajumbe 2 wa ZEC Wapinga Kurudia Uchaguzi Preview YouTube video Serikali Yalipa Deni La Bilioni 400 Kwa Makandarasi Preview YouTube video Madiwani Tabora Wabainisha Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka Wa Fedha Ujao Preview YouTube video Kauli Ya Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu Kuhusu Suala La Ukeketaji Nchini Preview YouTube video Ng'ombe 110 Wabainika Kuwa Na Ugonjwa Wa Mapafu,Miguu Na Midomo Kagera Preview YouTube video Ofisi Ya Bunge Yaanza Ukarabati Wa Ukumbi Wa Bunge Dodoma Preview YouTube video Serikali Nachingwea Kujenga Uzio Shule Ya Wasichana Nachingwea Preview YouTube video Miili Ya Askari Polisi Waliofariki Katika Ajali Mkoani Singida Yaagwa Preview YouTube video Yanga Yailaza JKT Ruvu 4 0 Preview YouTube video Sudani Kusini Yatangaza Kumuunga Gianni Infatino Mbio Za Urais FIFA Preview YouTube video Serikali Zanzibari Yatoa Rai Kwa Vikosi Vya Ulinzi Na Usalama Preview YouTube video Mahakimu Viswani Zanzibar Waombwa Kuzingatia Haki Preview YouTube video Wananchi Zanzibar Washauriwa Kujiunga Katika Vikoba Preview YouTube video Vijana Zanzibar Washauriwa Juu Ya Matumizi Ya Mitando Ya Kijamii

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI