MESSI ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LA LIGA KWA MARA YA KWANZA

Tuzo hiyo imekuwa ikitolewa tangu mwanzoni mwa msimu wa 2013-2014, lakini mshindi huyo wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, maarufu kama Ballon d'Orndiyo anashinda kwa mara ya kwanza.

Hatimaye mkali huyo wa mabao wa Barcelona ameshinda tuzo katika mara ya 23, baada ya kufunga mabao sita katika mechi za Januari.


Lionel Messi akikabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa La Liga mwezi Januari

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI